Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
nimesikia ya urais bashiru katoao form moja.! anayetaka fomu nyingine akatoe copy kwa jpm
Wakuu salamu za heri kwenu.
Ninaomba kujua Form za maombi ya kuomba ridhaa kugombea ubunge ndani ya CCM zinatoka lini. Ubunge wa kawaida na wa viti maalumu.
Asanteni.
Asante mkuuMkuu,
Ni tarehe 14/07/2020,
Ukienda ofisi zozote za CCM KATA utapata.
Zingatia kadi yako iwe Hai.
Gharama iko sawa kabisa.Mkuu,
Ni tarehe 14/07/2020,
Ukienda ofisi zozote za CCM KATA utapata ngazi ya UDIWANI ambazo ada yake ni tshs 10,000
Ubunge ni ofisi za CCM Wilaya, ambazo ada yake ni 100,000.
Shukrani
Nani amekuuliza?nimesikia ya urais bashiru katoao form moja.! anayetaka fomu nyingine akatoe copy kwa jpm
Ni kweli hizi taarifa zipo hapa dodoma ukitaka ukatoe kopi kwa YesuNani amekuuliza?
amesema wabunge wote wa CCM watarudi, sasa fomu za nini? wanachukua wale waleWakuu salamu za heri kwenu.
Ninaomba kujua Form za maombi ya kuomba ridhaa kugombea ubunge ndani ya CCM zinatoka lini. Ubunge wa kawaida na wa viti maalumu.
Asanteni.
Nyie wafuasi wa "yesu" mna matatizo!.Nani amekuuliza?
Nakuombea heri. Je unapenda Jimbo ama viti maalum?Gharama iko sawa kabisa.
Tuombeane heri mwakani tarehe km hizi niwe na initial ya mheshimiwa M
Amechukua ili amalizie kaziJPM alisema ya laiti angejua urais ni kazi ngumu kiasi hichi, basi 2015 asinge chukua form ya kugombea.
Mbona mwaka huu kachukua tena?
Viti maalumuNakuombea heri. Je unapenda Jimbo ama viti maalum?
Hivi viti maalum CCM vinapatkana kwenye jumuiya zake zipi?Viti maalumu
UWT, UVCCM, Special needs mfano albino n.k,Hivi viti maalum CCM vinapatkana kwenye jumuiya zake zipi?
Amechukua ili amalizie kazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12]...jf raha sana.nimesikia ya urais bashiru katoao form moja.! anayetaka fomu nyingine akatoe copy kwa jpm
hahaa, Tz inawatu aisee dahnimesikia ya urais bashiru katoao form moja.! anayetaka fomu nyingine akatoe copy kwa jpm