πππ Hakuna lililonikuta mkuu ila siku kadhaa zimepita nilishuhudia vurugu kubwa sana kwenye maeneo ya mahakama baada ya mwanamke mtalakiwa kuongozana na kidume mpya mahakamani.Hahah, nimewaza umekutana na jambo gani lakini naona umekwazika na jambo katika mchakato wako wa ama kudai au kudaiwa Talaka.
Pole Mkuu
Nikirudi kwenye hoja yako, kama ni swala la kiusalama ipo mamlaka, jeshi la polisi na Mahakama yenyewe.
Fomu kujazwa online inawezekana ila mfumo bado haujaanza kazi kikamilifu japo sio kujaza bali kuwasilisha online na kuendesha kesi online.
Tuipe Mahakama muda pengine mwaka 2024 ukawa mwaka rasmi wa Mahakama Mtandao Tanzania.
Yap, itapendeza sanaThis is a good idea na nida number should be involved na message inatumwa kwa muhusika na. File number for review then mnapeleka id kwa mahakama itβs done
ππBaada ya ndoa za mitandaoni na sasa mnataka talaka za mitandaoni π
πππNdoa ni agizo la kimbingu. Muda ukifika, ni muhimu tuwe kwenye ndoa.Nasubiri komenti ya kataa ndoa ili nikazie
ππ Sayansi na teknolojia bro. Inapunguza vurugu na visasi.Kama tulioana online, tukaishi online tukala(na) online hapo sawa
NAKAZIA HAPA HAPAkataa ndoa
[emoji28][emoji28]Kama tulioana online, tukaishi online tukala(na) online hapo sawa