The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Wakuu,
Kuna jambo nimejiuliza siku nyingi sana kuhusu maneno “City Bus” yanayoonekana kwenye daladala nyingi za Dar es Salaam. Font ya haya maneno yanafanana katika daladala zote na hili ndilo lililonifanya nijiulize kama hii font kuna mtu mwenye hakimiliki yake maana imekuwa kama ndiyo official font ya daladala za Dar.
Kuna mwenye historia ya nani aliigundua na imekuwaje mpaka kila daladala inaitumia? Je, hizi daladala zinapigwa chapa kwa mtu mmoja au ni font tu imesambaa na kila mmoja ana uhuru wa kuitumia? Kwa yeyote mwenye historia ningependa kusoma anachokijua.