The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Dispise ❌very ugly fonts, i dispise it
Swali ni FontMwaibula ndio alianzisha huo ubunifu wa kuandikia sehemu zinakotoka na kwenda daladala
VETAWakuu,
Kuna jambo nimejiuliza siku nyingi sana kuhusu maneno “City Bus” yanayoonekana kwenye daladala nyingi za Dar es Salaam. Font ya haya maneno yanafanana katika daladala zote na hili ndilo lililonifanya nijiulize kama hii font kuna mtu mwenye hakimiliki yake maana imekuwa kama ndiyo official font ya daladala za Dar.
Kuna mwenye historia ya nani aliigundua na imekuwaje mpaka kila daladala inaitumia? Je, hizi daladala zinapigwa chapa kwa mtu mmoja au ni font tu imesambaa na kila mmoja ana uhuru wa kuitumia? Kwa yeyote mwenye historia ningependa kusoma anachokijua. V
View attachment 3092223
View attachment 3092224
View attachment 3092225
😀😀😀😀😀Wakati nimeingia mjini baada ya kutoka kwa miaka kadhaa, kuna jirani yetu alikuwa na daladala mbili nikaona zimeandikwa City Bus. Basi bana nikapiga misele town kila daladala imeandikwa City Bus. Niliporudi kijiweni nikawaambia watu huyu jirani yuko vizuri naona ana daladala nyingi sana. Watu walicheka sana ndio nikaambiwa City Bus ndio jina la daladala zote.
Kesha fanya masahihisho, lakini tayari taarifa ulikuwa ushazipata. Ogopa teknolojia.Dispise ❌
Despise✅
Very ugly fonts, I despise them
Dah! 😀 😀Wakati nimeingia mjini baada ya kutoka kwa miaka kadhaa, kuna jirani yetu alikuwa na daladala mbili nikaona zimeandikwa City Bus. Basi bana nikapiga misele town kila daladala imeandikwa City Bus. Niliporudi kijiweni nikawaambia watu huyu jirani yuko vizuri naona ana daladala nyingi sana. Watu walicheka sana ndio nikaambiwa City Bus ndio jina la daladala zote.
Naona hauko peke yako 😀😀😀😀Umenikumbusha mbali mwaka 2013 ndo nimetoka "mpiga miti village" , mara ya kwanza naingia jijini nilijua haya magari ya mtu mmoja aisee ushamba mzigo nyie acheni tu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app