Food Industries itakuwa ya Mwisho kabla ya Human Civilisation kufikia mwisho

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Kwa Hili Janga tulio nalo utakubaliana na mimi kwamba bado food Industries inabakia kuwa Industries muhimu na ya kipekee kabisa na pia inaaminika ndo itakuwa ya mwisho kabla ya Human civilisation kufikia mwisho.

Kwenye Lockdown sehemu mbali mbali Duniani Exclude iko kwenye Food Industries kwa ukubwa sana ingawa idara kama za maji na nishati pia zinapewa umuhimu na pia afya.

Na ndo Industries inayo endelea ku make pesa kwa sasa kuliko sekita nyingine yotote ile, Utalii umekufa kabisa, Nishati iko hoi kabisa na sekita kama za sanaaa hoi kabisa.

Ukiangalia triend za Dunia kwa sasa wanasema huenda ikatokea baa kubwa sana la njaaa kwa sababu ya kufungwa kwa mipaka na tiyari baadhi ya nchi zisha anza kujihami.


Kwenye Vita hasa maeneo ya Waasi kama unafanya biashara za Vyakula basi huguswi na wanaweza hata kukupa ulinzi kama unahitaji.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa na hata kwa wale waliokuwa na Stock ya kutosha ya Chakula watanufaika kwa kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…