Fool again......

Fool again......

dah, chriss nani kakukanyanga firigisi yako?
Yaani wiki hii walilia mapenzi tu, pole.
 
Hii inaonyesha kama hujiamini ndio maana wanakutesa mademu. Ndio nini maana ya kuandika na kufuta, yaani hujiamini amini vile.

Watakulkwaza wengi tu ndugu
 
Maisha ya magharibi(West Life) nakumbuka miaka ya 2000 napiga muscles(misuli ya kudead mtu) naitafuta one ya point tatu(PCM).
 
Maisha ya magharibi(West Life) nakumbuka miaka ya 2000 napiga muscles(misuli ya kudead mtu) naitafuta one ya point tatu(PCM).
Kwa hiyo mkuu pamoja na msuli wote ulipata kama mwanaasha? teh teh teh teh teh teh teh !!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom