Gajungi JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 257 Reaction score 83 Mar 13, 2016 #1 Habari zenu wanajamvi. Ningependa kuuliza kwa anayejua juu ya football academy zilizopo hapa Tanzania. Je zipo ngapi,gharama na requirements za kuwachukua wanafunzi.Je zina ufanisi? Asanteni.
Habari zenu wanajamvi. Ningependa kuuliza kwa anayejua juu ya football academy zilizopo hapa Tanzania. Je zipo ngapi,gharama na requirements za kuwachukua wanafunzi.Je zina ufanisi? Asanteni.