Kama una 1M, unaweza ingiza faida ya Laki 6 kwa wiki.
hii chai..uliweka odds 23_ kwa mechi ngapi.?Yah mkuu iki ni chanzo kizuri cha pesa mi niliwahi kuweka 4500$ nikapiga 115,000$ kwa odd 23
Kama una 1M. Mfano Jumamosi tarehe 11/08/2019 Westham vs Man City unachagua over 1.5 odds 1.16duh hatari hiyo ...tiririka mwanawane mie nituliage home tuu na marimba ya mzungu
Kama una 1M. Mfano Jumamosi tarehe 11/08/2019 Westham vs Man City unachagua over 1.5 odds 1.16
Ukiweka 1M utapata 1,160,000/=
(hiyo ni mechi moja, haya mchukue na Liverpool hapo afu mpe Double chance)
Unabet kwa kutumia mbetishaji yupi?Nilianza na 7000,hadi jana nina 350000 kwa live betting... inahitaji muda... wa kutosha kufuatilia mechi na presha ya moyo huwa juujuu.
Hapa nasubiri ifike saa nane nianze kubet live.... nile kadhaa niendelee na mambo mengine.
Mechi 9 tuodds
hii chai..uliweka odds 23_ kwa mechi ngapi.?
Hata laki huna...50K, 20KKha...kumbe huu mchezo ni wenye hela...hiyo million mie sina.
uweke 4500 usd afu uweke mechi tisa..?? hahahaaa ni novice punter ndo atakuaminiMechi 9 tu
Hata laki huna...50K, 20K
Vipi kuhusu hizi virtual nazo zinalipa ama?Hata laki huna...50K, 20K
Sijawah chezaVipi kuhusu hizi virtual nazo zinalipa ama?
Ukisikia kamari ndio zile sasa wala usijaribishe hata siku moja huo upumbavu, virtual maana yake ni kitu siyo real hivo yale ni makatuni yanachezeshwa na kompyta huwez pata lolote zaidi ya kuliwa.Vipi kuhusu hizi virtual nazo zinalipa ama?
Mkuu unatumia kampuni ipi kubet? Mkeka, sportpesa, mbet auUkisikia kamari ndio zile sasa wala usijaribishe hata siku moja huo upumbavu, virtual maana yake ni kitu siyo real hivo yale ni makatuni yanachezeshwa na kompyta huwez pata lolote zaidi ya kuliwa.
Oky, Ni app zipo play store au unaenda Google direct? Vipi kuhusu malipo Ni Tz shilings au dollar?Galsport betting, au premier betting