yellow wall
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 648
- 105
The saga continues,Every 1860 Munich side from the professionals down to the under-16s have been relegated this season.
1860 Munich ilisumbua sana bundesliga mwanzoni mwa miaka ya 2000's msimu uliopita ilibaki kidogo ipande daraja kuja ligi kuu, masikini jana imeporomoshwa daraja kwenda ligi daraja la tatu, (3 Liga)
Kibaya zaidi timu zao zote kuanzia ya wakubwa, hadi U16 wameshuka daraja kwenye ligi zao.