Its official now, Dortmund imemsajili kinda Dan-Axel Zagadou toka PSG mwenye miaka 18 kwa mkataba wa miaka mitano, atajiunga na kikosi mwezi wa saba tarehe moja welcome Zagadou to black and yellow
Kitendo cha max Meyer kugoma kuongeza mkataba na schalke 04 inamaana kwamba either wamuuze saizi au aje aondoke free mkataba wake utapoisha mwakani kama ilivotokea dortmund na lewandowsky.