yellow wall
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 648
- 105
Kwa kazi aliyoifanya anastahili tuzoBest goalkeepers in the Bundesliga [Kicker]
Sure man, jamaa ni one of the best in the world japo hii injury aliyoipata sijui kama atarudi kwenye kiwango chake msimu ujaoKwa kazi aliyoifanya anastahili tuzo
Germany hawaishiwi na vipaji vya dhahabuGermany Vs San marino expected line up
Tatizo kubwa la timu ya taifa ya ujerumani kwa sasa ni striker, kwa upande wa makipa, mabeki, midfielders wapo full packageGermany hawaishiwi na vipaji vya dhahabu