yellow wall
JF-Expert Member
- May 25, 2017
- 648
- 105
Umeonaeeee...Tatizo kubwa la timu ya taifa ya ujerumani kwa sasa ni striker, kwa upande wa makipa, mabeki, midfielders wapo full package
HahaaUmeonaeeee...
Au tuwape Mbwana samata kwa mkopo
Hahaa Asante mkuu, Higuan ana gundu yule [emoji23] kila fainali za maana ye anapoteza tuHongeleni sana kwa ushindi mnono wa 7-,,,japo mli2funga final alakini hamna noma.
Hahaa Asante mkuu, Higuan ana gundu yule [emoji23] kila fainali za maana ye anapoteza tu
Utashindwaje kushine kama unacheza na Cordoba[emoji23] , au ile atmosphere ya fainali inamchanganyaHa ha ha ha absolutely kamanda. Ila kweny ligi ajabu anafanya vizuli mno aise.
Utashindwaje kushine kama unacheza na Cordoba[emoji23] , au ile atmosphere ya fainali inamchanganya