Football made in Germany (Bundesliga) special thread

Eintracht Frankfurt have suspended mufc loanee Guillermo Varela for getting a tattoo 3 days before the German Cup Final
 
Julian Brandt will leave Bayer Leverkusen and Germany this summer. England seems to be his most most likely destination.
 
Philipp Lahm alianza kuichezea Bayern Munich II, akiwa kacheza michezo 63 na kufunga magoli matatu.
 
Baada ya hapo alitolewa kwa mkopo kwenda Stuttgart ili akapate uzoefu wa ligi, maana kwa kipindi hicho Sagnol na Lizarazu ndio walikua mabeki wa kulia chaguo la kwanza kwa upande wa bayern.

Aliichezea Stuttgart toka mwaka 2003 hadi 2005 akiwa kacheza michezo 53 na kufunga magoli mawili.
 
Mechi yake ya kwanza kabisa ilikua dhidi ya RC Lens kwenye champions league 13 November 2002, akiingia dakika ya 92.
 
Mechi yake ya kwanza kabisa upande wa bundesliga ilikua ni mechi ya ufunguzi wa ligi msimu wa 2003/04 dhidi ya Hansa Rostok
 
Philipp Lahm na mkewe Claudia Schattenberg.


Katika harusi yake Andreas Ottl alikua ndio mchezaji wa mpira pekee aliehudhuria sherehe hyo.
 
Mwaka 2008 Philipp alikataa ofa ya kujiunga na Manchester united na Barcelona ni baada Hoeness kumuahidi kujenga timu itakayokua shindani kwenye makombe ya ulaya.
 
Mwaka 2009 Lahm alipigwa faini kubwa ambayo haijawahi tokea katika historia ya club ya bayern (€25,000) ni baada ya kufanya interview bila ruhusa/kibali.
 
Kwenye hiyo interview Lahm aliukandia mfumo mzima wa uendeshaji wa club ya Bayern hasa kwenye mambo ya usajili.
 
Mechi yake ya kwanza na timu ya taifa ilikua mwaka 2004 dhidi ya Croatia.
 
Baada ya kuondoka van Bommel 2011, Philip lahm akapewa kitambaa cha ukapteni.
 
Renato Sanches will play for Portugal U21 at the Euro U21 in Poland instead of the Confederations Cup this summer
 
Juventus are interested in both Renato Sanches and Douglas Costa [Corriere dello Sport]
 
Dortmund reportedly interested in Sampdoria striker Patrik Schick
 
Mechi ya Wolfsburg na Braunschweig ndio inaanza.

Wolfsburg kaanzia nyumbani
 
Mario Gomez anaipatia goli Wolfsburg kwa mkwaju wa penalty dakika ya 35
 
Half Time: Wolfsburg wanaongoza kwa goli moja la penalty aliyopiga Gomez na kufikisha idadi ya magoli 18 kwa msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…