Football vs Bongoflavor.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828

C.Ronaldo.

Diamond Platnumz.
Point yangu.
Kati ya wacheza Mpira na Usanii
Wepi wanachukua salary nyingi Ulimwenguni?
 
Kukusaidia kulifahamu hilo kwa hapa bongo jaribu kuangalia anachoingiza Diamond Vs Samata

Ukienda kule duniani jaribu kulinganisha walau

Ronaldo au Messi Vs Bieber au C.Brown
 
kibongobongo mchezaji wa yanga au simba(football) hamfikii hata kidogo diamond au blue au kiba bongo mziki unalipa zaidi
Ulaya mpira unalipa zaidi mfano kiasi anacholipwa messi au ronaldo kwa wiki namakampuni yaliyowekeza kwake kiasi kinakua kikubwa zaidi ila inategemea juhudi ya mtu mfano huwez niambia bongo 20 percent anamkwanja zaidi ya mond au ulaya drink water wa leicester ana mkwanja zaidi ya bieber
 
Ronaldo mshahara wake kwa wiki ni euro 288,000....hiyo kwa pesa za bongo ni karibu shiling million 600 kwa wiki. Huo ni mshara tu anaolipwa na real madrid sio hela za matangazo au anazolipwa na sponsor wake (nike). Hata wasanii wakubwa marekani kama 50 cent au birdman hawajafikia utajiri wa namna hio wewe unamfananisha na daimond?. ..daimond sidhani hata kama kamzidi samatta
 
wewe unamfananisha na daimond?. ..daimond sidhani hata kama kamzidi samatta
Wapi kafananishwa Diamond na Ronaldo..!?
Alafu mtoa mada...
Siku nyingine ukiweka picha ya Diamond,weka na ya Messi...
Diamond na Messi ni vitu vinaendana kidogo..!
 
Mcheza football ni employee lakini musician ni self employee... Huwezi kumlinganisha mtu mwenye self management (mwanamziki) na mtu aliyeajiliwa ( footballer)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…