FOOTMOB RATING,huwa wanazingatia vigezo gani?

FOOTMOB RATING,huwa wanazingatia vigezo gani?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Mfano Jana msuva ana 7.3 Samata pia ana 7.3 Ila watu wanamsifu msuva na kumlaumu Samata..
Bacca ana 7.8 afu Dismas ana 8.0 lakini watu wanamsifu zaidi bacca.

Hivyo hivyo kwenye kiungo Himid ana point nyingi kuwazid Mzamiru na Mudathir Ila Mudathir anasemwa vizuri kuliko..
Tujadilini hapa hiz point zinapatikanaje? Je tuziamini hizi kupima vigezo vya ubora wa mchezaji?


Nb.Sijaangalia mechi ya jana
 
Kwanza unatakiwa uelewe kuwa player ratings zinaangalia workrate ya mchezaji akiwa hana mpira.

Hayo mengine waachie watu wa mitaani.
 
Back
Top Bottom