FOR 2018: Share & List U'r Favorite's 3 Book's, Movie's and Song's

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
697
Reaction score
1,474
Hellow bosess!
I hope mpo Poa
mwaka ukiwa unaenda kukata sio mbaya tukashirikishana vitu vilivyo vipenda kwa mwaka 2018, kwa kua hatuwezi kujuzana vyote basi share nasi vitu ulivy vipenda kwa mwaka 2018 kwenye categor ya VITABU, MOVIES, NYIMBO nk
mm naanza iv
MOVIES
1.Aquaman
2.Johnny english strikes again
3.Fantastic beasts: The crimes of grindelwald
bonus
1.TAG
2.mission impossible fallout
SONG'S
1. GORAZON - M Gims
2. T-shirt Migoz
3. The gamber- Kenny rogers
BOOK'S
1.The future of humanity
2. 21st century technologies: promises & perils of dynamic future
TV channels
1.Discovery science
2. National geographic
3.Bloombergs
Embu tupe top 3 zako kwenye category yoyote
Bonus:7 gates to the future: kwa 2018 nimejifunza mambo tofauti kwenye industry tofauti ambayo yanaenda kubadilisha na ku shape future yetu na vizazi vijavyo first' mada ipo tayari sio mrefu nitaleta first gate to the future tujadiliane
 
Baada ya kupita hapa usisahau kwenda kutembelea kule Intelligence
 
SONGS
Perfect-Ed sheran
Ki Kassam-Hrithik(collabo)
Only you-Walter C
MOVIES
Porus
Baaghi
Khabhi kush kabhi gham
Heropanti
BOOKS
The world history
Season of waiting
A man of the people
Usiku utakapokwisha
Sundiata
TV CHANELS
Bollywood
National geographic
Azam two(for Jamai laja)
CELEBRITES
Lakshi Lalwani
Suhani Dhanki
Hrithik Roshan
Shah ruk Khan
Walter Chilambo.
 
Movie ya Johnny english naipataje kwenye mtandao msaada plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…