Mkulu heshima mbele...kumbe aikli huwa inarejea zizini... have a joyful festive season!!Ndugu zangunii tumekuwa pamoja katika masuala mbali mbali! Naomba nami nijipumzishe kidogo kwa kutoa shukrani zangu za dhati katika masuala yetu! Naenda hiji kwetu sasa na ntaondoka asubuhi na mapema kabisaa ili niwahi angalao kisusio
KWA HIYO NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA NA MBARIKIWE SANAAA NA TUKUTANE MWAKANI 2011 TUKIENDELEZA JUKWAA LETU!
JAMANI NTAWAMISI SANA ILA MUNGU WETU YU MWEMA NA TUTAKUTANA HAPA HAPA MWAKANI TUKIWA TUNA SHAURINA NA KUTIANA MOYO
AMEN
Ndugu zangunii tumekuwa pamoja katika masuala mbali mbali! Naomba nami nijipumzishe kidogo kwa kutoa shukrani zangu za dhati katika masuala yetu! Naenda hiji kwetu sasa na ntaondoka asubuhi na mapema kabisaa ili niwahi angalao kisusio