acha uluga luga we kiumbe,hujui kama wengne hatujaaply hata hilo bumu ili watu wa dizaini yako mpate,maana tungeaply wewe na hyo div 3 yako ya mwisho ya HKL ungekosa mkopo kabisa,na kukosa kwako mkopo hata chuo ungekickia kwenye taarifa ya habari tu,kwa hyo kuwa na nidhamu na majibu yako kwa watu.
Huyu jamaa BUJIMA sijui BAJUMA ana kichaa nini? Hivi UD siku hizi ina matatizo gani? Kwa namna hii ya kuchukua wanafunzi bora warudishe MATRICULATION.Huwezi kumpa mtu kama huyu nafasi ya kusoma bachelor hata chuo gani hapa Tanzania ila UD wamemchukua.
wewe mwehu nasomea mambo ya building cost sasa nenda kamtafute mtu ambae ana hii profession halafu yuko bench Kokote duniani labda utawakuta kaburini,huku ni numbers tu hakuna mbwembwe za kudiscuss kama nyie na course zenu za kike.
we HAMY-D acha matusi we ulifundishwa na wazazi wako au walimu wa kawaida unakuwa kama chichidodo anachukia kinyesi anapenda mang'onyo blali shikamoo wewe
we HAMY-D acha matusi we ulifundishwa na wazazi wako au walimu wa kawaida unakuwa kama chichidodo anachukia kinyesi anapenda mang'onyo blali shikamoo wewe
changia mada acha kujifanya mjumbe wa nyumba kumi,nyinyi si ndio wale mkielezwa shahada zenu hazina uzito mnaona mmetukanwa,kamlaumu akili yako kukushauri ujinga na kuwa dhaifu katika hisabati.
si mumsaidie mbona wengi wanaleta matatizo yao hapa kwani hio google hawaionagi?me sijui mwaya na hao classmates wako unaowauliza sijui wapo humu au wameuchuna tu?