Man glad unazo wewe, its really good and cool for u, ,keep up man
Thanks Man.
ni ngumu sana kufanya mazoezi iwapo kuna kitu unataka kukipata halafu basi,
lakini ukiwa unafanya mazoezi kama sehemu ya maisha yako ni rahisi kujenga mwili vizuri manake utakuwa unafanya continuously...
Kuwa makini usije kuwa-tempted kutumia chemicals alimradi tu ufanikishe lengo lako..
Hello jf
guys i need ushauri wenu, imekuwa almost 1 month doing mazoezi lakin still sijapata matokeo mazuri
WHAT I WANT TO BE:
SIX PACK ABS
kupata visible six pack abs. kwa anaejua please,naomba ushauri wenu, regarding diet,vyakula gani vya kula na vipi vya kuacha, na yaweza kuchukua muda gani?
ryt now nafanya jogging exercise and tangu nianze nina muda wa wiki mbili.na jogg cyo long distance saana, lets kuanzia magomeni migumi mpaka boma ilala is the distance..
pia nafanya crunches but still development imekuwa c nzuri..
BODY BUILDING.
nimekuwa nikililift weight for almost 9 months. the problem is mwili wangu haupati cutting but huwa nanenpa nyama, i did do a lot of exercise, and hayo mazoezi nikifanya, wenzangu wanakatika and they do look great. so guys what should i do to get good and cutting body..
mazoezi ninayofanya
FOR KIFUA NAFANYA
bench press(flat and incline bench press)
Dumbell flies
TRIECEPTS
Nafanya using dumbell and skull crusher
BICEPTS
Natumia dumbell mostly
and so
GUYS ANYBODY WHO CAN GIVE AN ADVICE PLEASE YOUR WARMLY WELCOME..
Lakini iwe vizuri lugha ya kiswahili itumike kwenye maelekezoo
Shukran
watching you....m connecting them dots ujue.......
btw....umenionea bebii wangu.....?
Hapo unamzungumzia Bebi yupi kati ya wale saba ninaowafahamu?
Lol
Nasubiria kwa mikono miwili
hii picha ni yangu
View attachment 49261
na hii ni baada ya kufanya mazoezi muda mrefu kuanzia mwaka 2003 hadi 2006; sasa ni mtumishi wa umma sipendi muonekano wangu kwa sababu kifua ni kikubwa wakati kiono kidogo na hivyo figure langu lipo kama la simba. sijisikii vizuri kwa sababu sasa mi afisa kwa sababu nikichomekea sionekani kuwa vizuri, kunenepa nahisi ni tatizo kwa sababu misuli tayari imekakamaa, na tumbo langu limekuwa dogo sijui kama kitambi kinaweza kuota, lakini baadhi ya dadaz they like me na bi mkubwa anaridhika sana na saa nyingine mpaka anakinai na performance yangu kwenye 6 X 6; kwa sasa naendelea na zoezi la kukimbia kwa wiki mara mbili hadi tatu
Sijakuelewa mpenzihiiiii......kweli jf kiboko......hahahahahahaaaaaaaaaaaa......
saa zingine muwe mnatusamehe jamani......tunaonekana wehu huku uraiani....hi hi hi hi hiiiiiiiii........
hahahahahahahhhaha preta weye hahahahahaahahah mie sisemi!hiiiii......kweli jf kiboko......hahahahahahaaaaaaaaaaaa......
saa zingine muwe mnatusamehe jamani......tunaonekana wehu huku uraiani....hi hi hi hi hiiiiiiiii........
Taja na aiana ya chakula unacho kula kila siku na mda pia. Hivi muhimu sana kwenye kukata tumbo.
Sio unatoka kupiga sit ups alafu unaenda kujishindilia plate nzito ya wali; uutakua unatwanga maji kwenye kinu na kitambia kitaendelea kuwepo.
Chuma usibebe kila siku, upe mwili kujijenga, kula vyakula vyenye protein nyingi kama tuna au salmon (ni bora zaidi). Kama unaharaka sana na matokeo tumia protein shakes.