Brand new Amazon Kindle inauzwa, (full boxed) ni nzuri sana kwa wapenzi wa kusoma vitabu online au wanafunzi wa chuo, itakuepusha kutembea na mavitabu au Kila siku kwenda library kufuata vitabu!
Ina uwezo wa kuhifadhi vitabu vingi kwa kadiri utakavyo!
Kindle haina tatizo lolote, nauza sababu ninazo mbili na moja siitumii!
Mind you, hizi product kwa Tanzania hazipo, so having it is high privilege!
Inatumia WiFi ku-download vitabu
Bei ni 500,000 tu
Serious buyer text or call
0764931111