Fufua Tumaini Jipya JF-Expert Member Joined Dec 11, 2024 Posts 223 Reaction score 469 Jul 22, 2025 Thread starter #21 Daby said: Shingapi kwa siku! Click to expand... Gari ndogo ndogo IST, RAV 4, Harrier etc ndizo tunaweza kuzirent as self drive Kubwa zote tutawaendesha sisi wenyewe Gharama Kwa mizunguko ya ndani ya Dar 70 - 130k (kutegemeana na gari) IST, Vits na jamii yake - 70k
Daby said: Shingapi kwa siku! Click to expand... Gari ndogo ndogo IST, RAV 4, Harrier etc ndizo tunaweza kuzirent as self drive Kubwa zote tutawaendesha sisi wenyewe Gharama Kwa mizunguko ya ndani ya Dar 70 - 130k (kutegemeana na gari) IST, Vits na jamii yake - 70k
Fufua Tumaini Jipya JF-Expert Member Joined Dec 11, 2024 Posts 223 Reaction score 469 Jul 22, 2025 Thread starter #22 Bosco Ntaganda said: Ongezea nyama taarifa zako, weka hapa kila kitu sio lazima tukupigie simu. 1. Hizo gharama za kukodi ulizoweka ni kwa muda gani? 2. Bei zinajumuisha na dereva, mafuta? Click to expand... Okay nimeweka Mkuu.
Bosco Ntaganda said: Ongezea nyama taarifa zako, weka hapa kila kitu sio lazima tukupigie simu. 1. Hizo gharama za kukodi ulizoweka ni kwa muda gani? 2. Bei zinajumuisha na dereva, mafuta? Click to expand... Okay nimeweka Mkuu.
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Jul 22, 2025 #23 Fufua Tumaini Jipya said: Service is available Click to expand... Acha kurudia rudia hizi comments zako. Zinafanya uonekane mpuuzi.
Fufua Tumaini Jipya said: Service is available Click to expand... Acha kurudia rudia hizi comments zako. Zinafanya uonekane mpuuzi.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Jul 22, 2025 #24 Fufua Tumaini Jipya said: Gari ndogo ndogo IST, RAV 4, Harrier etc ndizo tunaweza kuzirent as self drive Kubwa zote tutawaendesha sisi wenyewe Gharama Kwa mizunguko ya ndani ya Dar 70 - 130k (kutegemeana na gari) IST, Vits na jamii yake - 70k Click to expand... Mafuta juu ya nani?
Fufua Tumaini Jipya said: Gari ndogo ndogo IST, RAV 4, Harrier etc ndizo tunaweza kuzirent as self drive Kubwa zote tutawaendesha sisi wenyewe Gharama Kwa mizunguko ya ndani ya Dar 70 - 130k (kutegemeana na gari) IST, Vits na jamii yake - 70k Click to expand... Mafuta juu ya nani?
Fufua Tumaini Jipya JF-Expert Member Joined Dec 11, 2024 Posts 223 Reaction score 469 Jul 22, 2025 Thread starter #25 makaveli10 said: Mafuta juu ya nani? Click to expand... Kwetu mkuu