Jaman kama kuna mtu anaifahamu.BURCHALOR OF ARTS IN ECONOMICS.naomba anisaidie ukichukua degree ya hiyo fuculty utafanya kaz gan hapo baadae?na kwa upande wa ajira unaweza kujiajiri au ndo serikal 2 inakuajiri.and how about loans(inalipa).JAMAN SAMAHANI NAOMBA MUNISAIDIE KAMA UNAJUA CHOCHOTE ABOUT (BA IN ECONOMICS)

<br / ni hivo hivo kaka mkono uliteleza

Mmh ninachofahamu mimi inaitwa BACHELOR na sio BURCHALOR

<br / asante kaka.lakn vp kuhusu ajira in generalInategemea ile trimester ya kwanza mwaka wa mwisho utachukua option gani. Ziko nyingi kama entrepreneurship, strategic, finance na nyinginezo. Omba students' book hapo chuoni na ukishaona options then you'll become one of the to be chosen options.

NB: Hizi options zinatofautiana kulingana na chuo!

Inategemea ile trimester ya kwanza mwaka wa mwisho utachukua option gani. Ziko nyingi kama entrepreneurship, strategic, finance na nyinginezo. Omba students' book hapo chuoni na ukishaona options then you'll become one of the to be chosen options.

NB: Hizi options zinatofautiana kulingana na chuo!

Jaman kama kuna mtu anaifahamu.BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS.naomba anisaidie ukichukua degree ya hiyo fuculty utafanya kaz gan hapo baadae?na kwa upande wa ajira unaweza kujiajiri au ndo serikal 2 inakuajiri.and how about loans(inalipa).JAMAN SAMAHANI NAOMBA MUNISAIDIE KAMA UNAJUA CHOCHOTE ABOUT (BA IN ECONOMICS)

<br / asante kakakuajiriwa: budget officer,planning,monitoring and evaluation,investment,policy analyst n.k

kujiajiri: ni msaada mkubwa kwani unakuwa na knowledge inayo cut-across mambo mengi macro(uchumi wa nchi) to micro(firm na individual)

:Economics ni more analytical discpline so unapanuka kimawazo kwa ujumla

waliosoma hiyo Economics watakusaidia zaidi wakija

<br / chuo gani?

wel,kwa mujibu wa wa2 wanao soma hyo k2 wanasema,kwa m2 mwenye bachelor,maisha yake bado ni magumu,atleast hadi apge masters,nw days nimeona kuna chuo kinatoa bachelor of economics wt finance,pengne hyo inaweza ikawa nzuri sana kwa soko la ajira kuliko BA-Economics.

Jaman kama kuna mtu anaifahamu.BACHELOR OF ARTS IN ECONOMICS.naomba anisaidie ukichukua degree ya hiyo fuculty utafanya kaz gan hapo baadae?na kwa upande wa ajira unaweza kujiajiri au ndo serikal 2 inakuajiri.and how about loans(inalipa).JAMAN SAMAHANI NAOMBA MUNISAIDIE KAMA UNAJUA CHOCHOTE ABOUT (BA IN ECONOMICS)

<br / thank u.kama option gan ina ajira za kutosha.nani kaz gan utafanya?

ni falcut nzuri. Kuhusu ajira, zipo nyingi tu kutegemea sana na ulicho opt mwaka wa mwisho. Ziko field nyingi sana.
Ofisi nyhni sasa zinahitaj kuwa na mchumi. Lakin kujiajiri ni njia nzuri na inawezekana pia.
Wasikutishe eti mpaka masters, waongo hao.