Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Kwa Graduate Engineers, jiendeleze kwa kozi zinazotolewa na Siemens bure, na kupewa Certification
Hizi zinaweza kukuongezea ujuzi na kupendezesha CV yako, au hata kujichotea mawili matatu ya kuweza kujiajiri kama Contractor Engineer wa Viwandani na Ofisi yako ya mkononi....
👇
Jiunge, kwa kujisajili, Tafuta Course unayoinpenda, soma notes zake, jiunge kufanya mtihani na kupewa cheti kinachotambulika kimataifa kama
Siemens Certify Engineer..
Pia kuna live course za online kama unaweza bando, na Lecturer anafundisha live, unachagua unachokipenda kusomea..
Na kuna Industrial IT course ambazo ni bonus kwa Multi Skillled Engineer kujua hata kama hujasomea IT....
Hii itakuongezea ujuzi na ujanja wa Industrial IT Engineering.....