For JamiiForums Mobile users

natumia JF application
Kama ni JF app utafungua jukwaa husika unalotaka ku-post kitu utakacho lakini u-click kwenye SUB-FORUMS ambapo utapata majukwaa tofauti utachagua unalotaka kwa mfano jukwaa la entertainment ukishafungua jukwaa hilo utaona topics zilizopo.

Chini upande wako wa kulia utaona kiduara cha blue kikiwa na alama kama ya peni hivi kiguse hiko, itafunguka page ambayo itakutaka uweke New Topic utaweka Tittle na chini utaweka mada utakayo then ukimaliza utakuwa good to go. Utaipost.

Tayari utakuwa umeshaanzisha thread yako mkuu. Usipoelewa ruksa kuuliza.

KARIBU SANA.
 
Kama unataka ku-quote post ya mtu ili uitolee maelezo au u-comment zaidi juu ya kile alichosema unafanyeje?
 
 
HERUFI KUBWA
Kama Unataka Kuweka Herufi Kubwa. Basi Fanya hivi...
andika maneno yako Mfano JF MOBILE. Sasa mwanzoni weka code hii na Mwishoni weka Code hii [/size ] Usiruke space kama mimi.. And its DONE. Hiyo 15 unaweza kuibadili kulingana na size unayotaka.
JF MOBILE oooh Niiice

Unaanza na code ipi maana umesema hii bila kutaja. please help me. RGforever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…