For JamiiForums Mobile users

Yaani hata sielewi[/color]
Andika hivi;

[ COLOR=red ]nyumbani[ /color ].

Hakikisha huachi nafasi kwenye hayo mabano na maneno kuanzia na bano [ na herufi C na lile ] kati yake na herufi d mwisho.

Pia bano [ libanane na Alama /.Na bano ] libanane na r mwisho.

Mimi nimeàcha nafasi ili uweze kuona.

Hapo kwenye neno red uñaweza andika rangi yoyote unayotaka iwe.

Neno nyumbani limekaa kama mbadala wa neno lolote unalotaka liwe na rangi.

Asante!!
 
Asante Mkuu
 
Much respect Brother Nimezima maelezo yako huyo Mdau Lakini sikuelewa nimejaribu more times nikawa nafell ila maelezo yako nimeyaelewa Kwa urahisi Sana, unafaa kuwa teacher
Hahahaaa!!.Naona umetiririka tu.

Ningeshangaa sana iwapo na kwa maelezo hayo ungeshindwa!.
 
Ila halibadiliki mbona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…