For JamiiForums Mobile users

Dah hapo sijui kama nimekupata vizuri, hebu quote reply yangu hapo juu afuu hiyo hiyo ireply nione utofauti ukoje!
 
Dah hapo sijui kama nimekupata vizuri, hebu quote reply yangu hapo juu afuu hiyo hiyo ireply nione utofauti ukoje!
Samahani kama nitakuwa nipo nje ya mada ila naomba nieleweshwe tofauti ya REPLY na QUOTE kwenye JamiiForums
safari hii Quote imefichwa hapo kwenye vidot 3 vya wima , halafu mstari wa pili chini utaona"
Pastory ni hivi km ni zaidi ya moja ukishai Highlight sentensi uliyo ireply km unatumia mouse unaright-click itadondosha option nyingi ikiwemo in a new page sasa nenda kaihifadhi ukurasa mwingine, huko utaicut na kuitumia hiyo sentensi utakavyo
km hujatosheka niulize au wengine wapo
 

Attachments

  • 1606138269696.png
    33.3 KB · Views: 13
Samahani, mimi natumia jamiiforums mobile na natumia freebasics kwahiyo sina PC, labda kama unaweza kunijibu kwa experience ya jamiiforums mobile

Pia nilikuwa nataka clear difference kwa wewe kuamua kwa reply moja ya kwangu uiquote ukishamaliza ku quote then uireply ili nione utofauti wa kuquote na kureply manake mimi nikienda kwenye notification bell naona watu wamequote replies zangu lakin mbona mimi nareply kawaida na sion utofauti kati ya wanvyoquote reply yangu na mimi ninavyoreply za kwao?
 
ok nimeshakuelewa nikiingia kwenye Mobile baadae nitaangalia JF Mobile wanavyohighlight na kupastehizo Quote na kuReply
 
ok nimeshakuelewa nikiingia kwenye Mobile baadae nitaangalia JF Mobile wanavyohighlight na kupastehizo Quote na kuReply
Bro thanks nimekuja kuielewa difference sasa, kuquote basically ni kutaka kureply mesej kadhaa kwa mkupuo ila kama ukiquote mesej moja katika muonekano haina utofauti na kureply (actually one message)
 
MOBILE[/COLOUR]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…