4figure ndo iliyotumika kutengeneza calculator... So ukiidharau sahau hata kuprogram calculator. Hata hizo simu sijui BB, ANDROID zimefanyiwa programming. So tusijifunze matumizi tu.. Tujue na mfumo ama mzizi.... :coffee:
Unatakiwa kujua zote bro... Ukirudi kwenye simu za kawaida what will u do? Start learning? AKON
ondoa nyota, hizo ni kwa mobile
Ondoa nyota**
- bold ni hivi [b*]text[/b*]
- underline ni hivi text[/u*]
[*]rangi
ni hivi text[/color*][*]
[*]link ni hivi hapa[/url*]
[*]kukata neno... Hi naona inazingua JF[/b]
ila nayo nitext[/s*]
kama unajua code zaidi unaweza tupia
huo ni ujanja au information
ujanja kwako ni upi?