Thanks MKUU!
Kama unataka Maandishi makubwa
[ size="15"]Thanks MKUU![/size]
Usiruke nafasi kama mimi. Halafu hiyo 15 unaweza kuweka number nyingine kutegemea unataka size gani
font 7
font 3
Nime boresha kidogo hiipost
Waweza ongeza code zaidi
- bold ni hivi [b]text[/b]
- underline ni hivi [u]text[/u]
- rangi
ni hivi [color=blue]text[/color]- Link ni hivi [url=http://ilovetz.com.com]hapa[/url]
- kukata neno... Hi naona inazingua JF
ila nayo ni [s]text[/s]- kulist vitu ni
[list]
[*]item1
[*]item2
[/list]
ambayo itaonekana hivi
- item1
- item2