Sawa symnols zipo mimi natumia nokia n82 kuziweka nimeshindwa
:ranger*
Code za nini mbona hizo features tunazipata bila kukumbuka code zote hizo?
Highlight, bofya B juu huko una bold, yanini taabu na raha zipo?
Hizo ni code za HTML mkuu.
ondoa nyota na andika ndani ya hizi alama ::
Why go into all the trouble? are we programming new websites?
Watu wanajaribu kunyesha mautundu yao mkuu.
na mimi ninajaribu fewgoodman@hotmail.com hapa
kijana acha kudanganya!! au unamaanisha nini unaposema hizo types of brackets kwako hazipo??