For JamiiForums Mobile users

Dodoso jaribu tena nna uhakika utaweza tu! Haya ni maujanja ya JF bhana!
 
Watumiaji wa FACEBOOK wanatamani sana haya maujanja ya JF.
 
Jamani nisaidieni
jinsi ya kufunga topic isiwepo
halafu jinsi ya kuedit topic
maana mimi imenishinda na mimi ni mobile user
 
Ama kweli humu jamvini tuna walimu wazuri haswaaaaaaa!!!!


Ukimaliza kama hapo juu ugonge hapa chini!


NGORONGORO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…