mi navojua watu, wakiweza kuweka rangi wataanza kuzania wako sawa ni sie web programmers, kisa wanajua hako ka-html code
hahahahahahaha....haya Bhana
Ngoja wapigie Msitali kama kweli wameelewa
kwa hiyo?
Shida yote ya nn,kwan nisipoweka rangi maandishi hayasomeki.nimeweza
Hello Guys.
Najua Mobile users wa JF wanamiss vitu ving sana vya uzuri wa JF. Mfano kuweka Rangi katika Maandishi ya Post yako au Thread.
SASA KAMA UNATAKA KUWEKA rangi katika Post yako kuna Njia rahisi ya kutumia bila kutumia COMPUTER.
TUANZE.
HEBU TUWEKE RANGI NYEKUNDU
1. Kama umeandika Maneno yako mfano Neno MOBILE
Tutatumia code hizi mbili
1.[COLOR=#ff0000 ]
2.[/COLOR ]
U
siweke Space yoyote ile mi nimeweka ili zionekane tu hizi Code
OKAY
Sasa Mwanzo mwa neno MOBILE yaani Nyuma ya herufi M weka code hiyo ya kwanza halafu mwisho mwa neno MOBILE yaani mbele ya herufi E weka code hiyo ya Pili. Its DONE.
MOBILE
KWA CODE ZINGINE HIZI HAPA
#000000 black
#FFFFFF white
#FF0000 red
#008000 green
#0000FF blue
#FFFF00 yellow
#808080 gray
#800080 purple
#00FF00 lime
#00FFFF aqua
#FF00FF fuchsia
#800000 maroon
#000080 navy
#808000 olive
#C0C0C0 silver
#008080 teal
#EE82EE violet
Unamalizia kwa code ya pili. THANKS GUYS
PIA Njia Hii Iko Poa KULIKO HIYO YA KUKARIRI COLOR CODES
[color=Jina la Rangi utakayo]SENTENCE UNAYOTAKA IWE NA RANGI[/color]
Mfano [color = blue]JAMIIFORUMS[/color] WEWE USILUKE NAFASI HAPO KWENYE = MIMI NIMELUKA ILI UONE KAMA NISINGE LUKA NAFASI INGE ONEKANA HIVI JAMIIFORUMS
Pia UNAWEZA KU BOLD MANENO KWA KUYA WEKA KATIKATI YA [ b ]maneno unayo taka yawe bolded[/b] kumbuka kuto weka nafasi katika hizo helufi b ndani ya mabano
Mfano: JAMIIFORUMS
hebu nijaribu kama itawezekana.

najaribu

itabold kweli???]