nimeweza:wink:
mi nataka kitufe cha LIKE haya mengine siyahitaji
Shikamoo shemeji LiverpoolFC.......... Mimi sijambo, ama baada ya salamu antaka kujua u hali gani............!!!!!!!!
madame;; Mi sijambo wa afya njema Shem wangu wa ukweli!!!! Pamoja sanaaaaaa!!!!
Unatumia aina gani ya simu?