kwenye alama ya sawasawa usiweke SPACE. Kama hivi
Mbona mimi inakubali
Mia mkuu.. ila umekosea sehemu kidogo nahis umechanganya kidogo kwenye link... hebu tafuta picha nyingine ya mandela iliyo na link ya picha si profile ya facebook ya mtu ambae ameweka hiyo picha.. maana wewe umeweka link ya profile sio link ya picha