For Motivation Only: Weka hapa misemo ya MATAJIRI wa kiafrika na dunia kwa ujumla

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Naanza na huyu Warren Baffet

"Kama hutoweza kutengeneza PESA ukiwa umelala basi maisha yako yote hadi kufa utafanya kazi"

 
Ewe mvivu, mwendee chungu, Zitafakari njia zake ukapate hekima.

Mithali 6:6
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaondoka lini katika usingizi wako?


Mithali 6:9
Kama siki menoni, na kama moshi machoni, Ndivyo alivyo mtu mvivu kwao wamtumao.


Mithali 10:26
Mkono wa mwenye bidii utatawala; Bali mvivu atalipishwa kodi.


Mithali 12:24
Nafsi ya mtu mvivu hutamani asipate kitu; Bali nafsi ya mwenye bidii itanenepeshwa.


Mithali 13:4
Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharabu.


Mithali 18:9
Uvivu humtia mtu katika usingizi mzito; Na nafsi yake mvivu itaona njaa.


Mithali 19:15
Mtu mvivu hataki kulima wakati wa baridi; Hivyo wakati wa mavuno ataomba, hana kitu.


Mithali 20:4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…