Huku Bongo wadanganyika walikuwa na mgomo baridi dhidi ya serikali ya chama cha mafisadi ;wengi hawakujiandikisha kuchagua viongozi wa serikali za mitaa na hata hao waliojiandikisha siku ya siku hawakwenda kupiga kura!! CCM wanaringa kuwa wamepata ushindi wa kishindo!! They can rule but they are not legitemate!!