You are very right ila kwa taarifa anazozihitaji huyo bwana inabidi awe na uhakika nazo 100%, kimsingi inabidi apate hizo taarifa direct from the source yaani SUA administration na sio aokoteze hizo taarifa mtaani kama anavyotaka yeye kurahisisha mambo hata yasiyofaa kurahisishwa.
Kijana mambo ya msingi kama hayo sio ya kuyafanyia mzaha. wewe badala ya kuuliza hizo habari SUA unakuja kuuliza JF. Unauhakika gani na unayemuuliza hili swali kuwa ni msuaso???jamani hizi shule za kata hizi zitaliangamiza taifa jamani. Huyu ni graduate mtarajiwa anafanya mambo kibabaishaji hivi.Piga simu chuoni sua upate reliable and first hand information from the horse mouth.
iHaya sasa, watoto wa fesibuku wameingia humu.
Mtu anaomba msaada, mwingine kwa vile amesoma extension mwaka juzi basi anajiona yeye ndo dvc msolla....damn, hivi dvc ni nani siku hiizi?