Kuweni na tabia ya kujikagua matiti kuepukana na matatizo ya advanced breast cancer. Pia toeni elimu kwa mwanamke yeyote unayefahamiana naye kwa wale wanaojua. Coz u may find a breast lump when examining a woman with other medical condition na ukimuliza anasema hajawahi kujigundua. Na usikubali doc akufanyie incision kama hajafanya vpmo vya kutosha. Its so painful meeting a woman with advance breast cancer wakati it z posbl to excise in early stages.