For PCM,PCB,CBM,CBG takers

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
wakuu naomba majbu ya mambo haya, 1.mtu aliyesoma PCB anaweza kuchaguliwa kusoma engineering kama civil,mining,chemical ,software,computer na IT.? 2.Aliyesoma CBG,CBM au CBA anaweza somea doctor of medicine,pharmacy? 3.kama inawezekana kwa vigezo vipi?
 
PCB hawezi kusoma any Eng.

CBG hawezi MD.
 
secret,
vp kuhusu CBM hawezi kusoma MD.?
 
PCB ana uwezo wa kusoma baadhi ya engineering mfano; environmental engineerng, municipal and industrial service engineering(znapatkana Ardhi university), software eng, food eng but kwa case ya chemical processng eng kwa udsm saiv hawachukuliw toka mwaka jana ila kpnd cha nyuma walikua wanasoma,, kwa vyuo vngine sjui..
 
CBG anachukua pharmacy, medicine and other medical related fields, inategemeana na chuo....
Pharmacy ya St.john na bugando zinawachukua bila shida, likewise bugando cbg anachukua medicine... pia pale kcmc cbg anaweza fanya prosthetics and orthotics...
Kuhusu vigezo inategemeana na ufaulu wa mwaka husika, at least ukawa na CCD you can be in a safe line...
 
Mtoa mada nae ni mvivu tuu ...mbona TCU wanatoaga kila course na qualifications zake. ... go to TCU website u download handbook yao majibu yote yapo mule.....
 
]CBG anachukua pharmacy, medicine and other medical related fields, inategemeana na chuo....
Pharmacy ya St.john na bugando zinawachukua bila shida, likewise bugando cbg anachukua medicine... pia pale kcmc cbg anaweza fanya prosthetics and orthotics...
Kuhusu vigezo inategemeana na ufaulu wa mwaka husika, at least ukawa na CCD you can be in a safe line...


CBG hawezi kuchukua medicine kwa chuo chochote hapa tz.. hata bugando saiv ni watu wa PCB..
Kwa maelezo zaid tembelea TCU
 
chief,
niko porini sana...network yakuvizia.
 
kwa kukusaidia pcb anaweza kuchukua baadh ya koz kama ece,eee etc kwa baadhi ya vyuo kama st jose. Pia cbg wanasoma eng.kama nlvyotaja hapo juu

PCB kuna baadhi ya Eng. wanasoma. Mfano UDSM kulikuwa kuna Bsc.in Food&Biochemical Engineering.vigezo ni PCB,PCM.
USHAHIDI NINAO.

Eng. subjects nyingi zinahusisha mahesabu sana. kwa BAM aliyosoma CBG/PCM ili apate 26% kusoma Eng. ni kudanganyana tu? Ok, maybe zipo ila chache sana na sio common sana. Siwezi jua maana siku hizi vyuo vingi sana na courses ni nyingi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…