For petrol heads wote

Mkuu unataka kucheza rally au unataka rally car Kwa ajili ya street racing na kuendesha Kwa burudani.

Na ulikuwa unataka gari ipi na yenye vigezo vipi?
Fujo tu , street racing & show case

Napenda gari ambayo pia naweza itumia kwa shughuli zangu za kilasiku na ruti za apa na pale ,,,,

Kama evo10,,, Ford focus rsrx,,,, Ford fiesta,,, Subaru WRX sti impreza,gr ligenc,,, na zenye kufanania izi nyingi nakuta zinaanzi 40m na nikipata chini ya apo nakuta zinaitaji marekebusho ya gharama kinoma
 
Mkuu Kwa Evo 10 hiyo million 20 hupati, labda Ford Focus ukategee Kule South Africa Ila lazima Kodi utalipa kubwa labda ufanye mipango na wazee wa mjini.

Wewe Anza na Subaru Impreza WRX hata matoleo ya miaka ya 2000.
 
Wazee wa mjini tatizo mzigo unafika ukiwa na mapungufu ya kufa mtu kiasi cha kwamba kiliekasawa kimalilivo staili kua nikipengele

Alafu sifa wanazo kupa nalitakapofika nitofauti
 
Tafuta Hizi gari kisha ufanyie mapping Toyota Aristo, Toyota Chaser Tourer, Celica used toka Japan unapata kuanzia million 12 hiyo chenji unafanyia mods.
 
apo nitalazimika kulisafurisha paka Kenya then bongo tena alafu kuna mwana moja ivi chuga aliwai nipigua hesabu ya kuifanyia mds celca ikafika 10m
Kuna kipindi Toyota Celica ya kawaida Be Forward ilikuwa mpaka usajili ni kama million 12-14.

Sasa ukipata kama hiyo peleka GTP wafanye mods ukitoa million 5 inafanyiwa mods vizuri ambayo utasumbua mtaani.
 
Awa GTP wapo wapi
 
Pamoja na transmission
 
Tafuta Hizi gari kisha ufanyie mapping Toyota Aristo, Toyota Chaser Tourer, Celica used toka Japan unapata kuanzia million 12 hiyo chenji unafanyia mods.
Bro nimeona kama celca gt-four 1999 ndo itakua nzuri kwangu lakini cjaiona kwenye maduka tulio yazoea SBT,befoward
 
Ningewapelekea jamaa wanifanyie some few modes then imeisha hio.

Hivi hapa bongo ni wapi kwny dyno mkuu?
kwa perfomance mods hapa bongo watu ninaowaamini ni GTP (otaku map)

then dyno kwa bongo hakuna EA dyno ipo kenya tu

ila GTP wanafanya Virtual dyno which huwa haitoi 100% results wataalamu wa mambo wanasema unaweza kuiamini kwa 85%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…