ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Rahisisha biashara,weka kila kitu bayana.
nahitaji carina
Mkuu, bei na details zote za gari ziko kwenye hio picha ya tangazo. Labda kama unatumia simu na imeshindwa ku'download picha..Weka bei Basi
Nauza grandvitara v6 manual bei maelewano 0769881984
Kwanini usiweke thread yako mkuu..?
Acha ubinafsi......