For sale: 3 bdrm furnished apartment, $280,000 at kariakoo, Dar

Chanika unatoa jumba kubwa kama la mahakama lililozinduliwa juzi Dodoma
 
Iyo hela tuma kwenye namba hii +255714591548 jina litakuja dalalitz. Ile simu yangu imezima charge.😳😳
 
Alafu unaenda kuishi kariakoo majirani zako ni wahindi na wapemba. Hapo naenda salasala/goba nanunua kiwanja cha 100m naweka mjengo wa 500m nabaki na chenji huku nikiishi napata hewa swaaafii
Burudanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…