Tajiri mweusi
Member
- Feb 13, 2012
- 61
- 18
hongera kwa kumiliki mtandao mkubwa wa jamii forum hapa ni sehemu ya matangazo mkuu, Pole kwa kukosa ajira siye mimi niliyekunyima taratibu punguza hasira zidisha maombi utafanikiwa tu. forum hii ni ya Nafasi za kazi na tender sasa wewe unayesema niondoe sijakuelewa naomba nifahamishe maana wewe uwenda unaelewa zaidi tender hata nyie wa kazi pia mnaomba au?Post it in zoom tanzania pls, huku ni kwa wasio na kazi sasa tutanunua vp? Halafu pls msiwe mnatuchanganya yaani na wewe unauza mali ya hela nyingi namna hiyo lkn hujui pa kutangazia!!!!! Nsona uliwapa sana shida wslimu wako kwa kushindwa kufuata maelekezo ktk mtihani
acha ubinafsi wewe kama unaona tangazo halikufai nyamaza haliendani na wewe.Post it in zoom tanzania pls, huku ni kwa wasio na kazi sasa tutanunua vp? Halafu pls msiwe mnatuchanganya yaani na wewe unauza mali ya hela nyingi namna hiyo lkn hujui pa kutangazia!!!!! Nsona uliwapa sana shida wslimu wako kwa kushindwa kufuata maelekezo ktk mtihani
Upya kwa maana haihatumika na imenunuliwa mwaka jana. from USAMbona siyo mpya? Halafu mbona kama mochwari?