Tunauza portable car inverter kwa ajili ya kubadili Umeme wa DC kuwa AC kwa matumizi madogo kama kucha
ji laptop, kuchaji bluetooth speaker, ku run hair dryer au fan.
Kwa wale wanaosafiri au kutumia muda mwingi barabarani na wana vitu vya SC bhasi hii ni mkombozi wako!
Matumizi yake rahis sana, ni kuchomeka na kutumia tu (plug n play).