Habari!
Nauza ubao wa kidijitali au screen ya matangazo inch 49, android OS, wa kusimamisha unacheza files zote kuanzia videos, GIFs, pictures etc.
Unafaa kwa matumizi ya dukani, supermaket, hotel, hospitali n.k.
Matumizi yake: unatengeneza maudhui mfano video fupi, au GIF zenye kutoa maelezo kisha unaweka kwenye flash na zinakuwa zikicheza kwa kujirudia rudia.
Bei 1,800,000
Inatumia umeme kidogo sana!
Tucheki 0712075846