FOR SALE: Video surveillance systems (4| 9 |16 cameras)

BrainPower

Senior Member
Joined
May 19, 2009
Posts
146
Reaction score
1
Habari za Leo Wakuu,

Nina tegemea kushusha mzigo wa video surveillance systems (complete with cameras + DVR) kuanzia tarehe 20

Kuna aina tatu za systems:
Zenye uwezo wa kuunganisha camera 4
Zenye uwezo wa kuunganisha camera 9
Zenye uwezo wa kuunganisha camera 16

-Camera ni zenye uwezo wa kuchukua video za rangi
-Camera pia zina uwezo wa kuchukua video kweny giza (Night Vision)
-System Zote zina uwezo wa kuunganishwa kwenye network (LAN) na pia zina USB port.

Nimeamua kupackage kila system. Kwa hiyo ukinunua system inakuja pamoja na camera zote ndani. Hii ni kuku rahisishia wewe.

Kwasababu nina order nyingi za system zenye uwezo wa camera 4 -Bei ni US$785. , shipment ya kwanza inakuja nazo.

Kama unahitaji systems za camera 9 na 16 tafadhali ni PM.

Malipo
Malipo yanafanyika siku unayo kabidhiwa. (Once Delivery Note and Receipt is presented)
Kama unaishi umbali wa kilometer 10 kutoka katikati ya jiji (Dar) nita organise uletewe. Kwa mikoa mingine ni PM -sidhani kama nitashindwa kufanya mpango.

Tafadhali ni PM ili ufanye order. Nitakutumia Confirmation of Order kwenye barua pepe (email).

Maelezo yake yanapatikana kwenye hii brochure ambayo nina ambatanisha

i624_4ch.CCTVbrochure.jpg

B.P
 
Mkuu asante sana. Ila hakikishe zina documents zote za manunuzi from the source na utupatie risiti wasije wakatudaka wakifikiri ni zile ziliibiwa kule Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE- Tanzania Institute of Education). Kweli tumefilisika kweli kweli. Njaa zinatufanya tunavamia ofisi nyeti kiasi kile!!! Kukimbizana na computers na cameras ambazo not fast mooving commodities na ambazo ni rahisi kukamatwa. Kwa wale wa magari wanachinja je na computer na camera utachinja?? Low level of brain leading to low level of thinking!!
 
Sawa Mkuu.,

Risiti Utapata..

On the other note:.. Lile tukio la TIE limenivunja mbavu !!
 
Mkuu asante sana. Ila hakikishe zina documents zote za manunuzi from the source na utupatie risiti wasije wakatudaka wakifikiri ni zile ziliibiwa kule Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE- Tanzania Institute of Education). Kweli tumefilisika kweli kweli. Njaa zinatufanya tunavamia ofisi nyeti kiasi kile!!! Kukimbizana na computers na cameras ambazo not fast mooving commodities na ambazo ni rahisi kukamatwa. Kwa wale wa magari wanachinja je na computer na camera utachinja?? Low level of brain leading to low level of thinking!!
unasema ni slow moving commodities,unajuaje if this stuff was not stolen to order.
 
Naweza kupata fibre optic surveilance cameras? Nazihitaji sana mkuu kwani kazi ninayozihitajia inahitaji kamera zisiweze kuonekana kirahisi, hizo hapo ni kubwa sana mtu yeyote anaweza kuziona bila tatizo. Kama unaweza kuzipata plz nijulishe kwa PM
 
Sawa Mkuu,

Wacha niulize wakati bado nipo kwenye hizi nchi za wenyewe. Nikipata nita ku PM
 
Back
Top Bottom