Haya jama, picha nshaiweka hapo, computer ndo hizo kwenye mabox na moja kwenye meza, na meza yenyewe inaonekana. If anyone there is interested, plz contact me with above contacts
Nilitangaza hizo products hapo juu, kama kuna anayehitaji anaweza kuwasilliana na mimi, bado bidhaa zipo. Mawasiliano yapo kwenye post ya kwanza. Thanks