for single girlz

The Mastermind

Senior Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
107
Reaction score
50
nimechoka kuwa lonely japo nipate wa kuliwazana naye me ni kijana wa kiume miaka 24 ni mwanafunzi ktk chuo fulani hapa dar natafuta mwenzi wa huba kwa maelezo zaidi ni-pm nitajibu NB:ITS MORE THAN SERIOUS
 
ah kumbe madame x wee upo single...mie za kuhonga ninazo vipi nirushe ndoano yangu?
 
Ndio karembo ila kampani muhimu baada ya pilikapilika a u ready?

I wish I were bt I better not usije uka disco mtoto wa watu. Full of dreams mwenyewe.... soma kwanza hao hao wa campus wanakutosha.
 
Loneliness may be the cheapest option for you now than what solution you are seeking for in your circumstances, if you are an undergraduate student clear your academics before adding weight on your scale.
Just a suggestion though.
You will do well to remember that riding two horses in one race might be more tough than you seem to know,
my prayers with you
 
Nmesikia Boom limeingia enh!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hah we kijana! Kama kweli umeshindwa kumpata mjini utampatia hapa? Mh! M mama yako nilmpatia kijijini mpaka leo hi 2na vijana kama wewe watatu,
 
Hah we kijana! Kama kweli umeshindwa kumpata mjini utampatia hapa? Mh! M mama yako nilmpatia kijijini mpaka leo hi 2na vijana kama wewe watatu,

Hongera baba ila jf inafika hadi huko ulipomtoa mama #samahani lakini#
 
Thanx mkuu nachanganya na zangu
 
I wish I were bt I better not usije uka disco mtoto wa watu. Full of dreams mwenyewe.... soma kwanza hao hao wa campus wanakutosha.

Karembo play ur part thats not urs kwanza tusiongelee sebuleni njoo huku-pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…