For suaso members

nyambari

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
355
Reaction score
171
Nawatakia maandalizi mema ya mitihani ya mwish wa muhula wanasua wenzangu Mungu awe pamoja nasi ili tuweze kuyakumba yale tuliyojifunza kwa ajili ya kujibia mitihani yetu.
 
Kila la heri ila kwa wa kihonda magorofani waache kwenda hunters club na wasome. Wazee wa sua mpo heshima sana wazee wa sua
 
mmh handout 70 zinanisubili hashkwi m2 hapa
 
Kila la heri ila kwa wa kihonda magorofani waache kwenda hunters club na wasome. Wazee wa sua mpo heshima sana wazee wa sua
Message delivered.
 
ila wakusimbilize this tym wanaweza tungua kilio dom, mambo yamebadilika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…