The fact that you hate the idea, 've just proven its existence.Is this what you tells yourself at night, huuh...??
No. This is not real , Love is not real pal. It's just a bunch and pile of illusios....This what you call it love is your abomination and Doom.
Soon or later you gonna wish you were dead
[emoji124][emoji124][emoji124]
Why is he in a box??[emoji16][emoji16]
Kwamba anaiambia picha anaipenda [emoji1][emoji1]Leo siku ya maigizo inawahusu waigizaji wa mapenzi tu na hasa wasioyajua wanaoamini kumpenda mtu ni kutuwekea picha yake kwenye mitandao na kuiambia picha ile eti "nakupenda". Sifa kuu ya mapenzi ni faragha bhana, hata iweje kama unampenda atajua tu, sisi huku wala haituhusu na wala hatuhitaji kusikia ukimwambia nakupenda kwa sababu sisi wala sio mawakala wa huyo unayedai kumpenda.
Acha mapenzi yaongee yenyewe msiyasemee, mapenzi sio bubu!
Imewaumaeeee!!!?Kama hivi [emoji1]View attachment 2118975
VyotevyoteImewaumaeeee!!!?
Au imewakeraaaaa????
Because he promised me in a Christian faith.Why is he in a box??[emoji16][emoji16]
Hana connection ukiona hivyoUnafeli wapi mkuu 😂
Mange aka Dada wa taifa anazungumziaje hili?Kama hivi [emoji1]View attachment 2118975
Kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, unajua kidnapping is an offence? Mwachie huru bana HahahahaBecause he promised me in a Christian faith.
Nadhani utarudi kuedit hii post baada ya kupigwa na kitu kizito
The funny thing is he enjoys being kidnapped by me.Kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, unajua kidnapping is an offence? Mwachie huru bana Hahahaha
Na hatuachi kuziangalia [emoji28]Umenena vema sana mkuu. Shida ilianzia kwenye Filipino movies,na kolean series
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app