For your eyes only

Navoyne

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
874
Reaction score
373
Remember to protect yourself

Last edited by a moderator:
Ulinzi wa ikulu ni muhimi mkuu!!:coffee:
 
short and unclear
heheehehh jamani ndio naingia hivi nimechoka taaban wallah lakini nimeona bora nichungulie jf nakutana kicheko cha hali ya juu....sasa hao wapigana viuno juuu???
 
heheehehh jamani ndio naingia hivi nimechoka taaban wallah lakini nimeona bora nichungulie jf nakutana kicheko cha hali ya juu....sasa hao wapigana viuno juuu???

Unaendeleaje mamii! pole na matatizo hope uko fine kwa sasa
 
Yawezekana huo mchezo unapata maksi nyingi sana ukifanikiwa kumtandika mpinzani wako kule ikulu kuliko ukimpiga usoni, si mmeona jamaa anavyolinda ikulu kuliko kitu chochote.
 
heheehehh jamani ndio naingia hivi nimechoka taaban wallah lakini nimeona bora nichungulie jf nakutana kicheko cha hali ya juu....sasa hao wapigana viuno juuu???

Hatimayeeeeeeeeeee . . .
Daaah jana niliona kuna sehem uli-comment lakin mpaka naingia kulala sijaona ni wapi, naona nimeamka vizuri leo

Yaani wenzio humu ndani wanachapana viunuu, viunooo mpaka vyawa vinono
Unaendeleaje my dia now?
 
Hapo ndo mambo yote yalipo na ndo unaitwa mwanaume pakiharibiwa itakuwa noma sie tunakuwa na ulinzi sana hapo maana hata mwanamke akikupiga au kukushika hapo nguvu maumivu yake si mchezo
 
heheehehh jamani ndio naingia hivi nimechoka taaban wallah lakini nimeona bora nichungulie jf nakutana kicheko cha hali ya juu....sasa hao wapigana viuno juuu???

Nimefurahi kukuona mamii,
Pole na hongera kwa yote,
Namshukuru Mungu kwa ajili yako,
Amekutendea sawasawa na tulivyoomba.
Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…